Program yenye uwezo wa kurahisisha kazi zinazofanywa na Vikundi ya Kuweka na Kukopa yaani ViCoBa. Program hii imetayarishwa kwa kutumia PHP na MySQL na kwa msaada mkubwa wa Bootstrap3.
Ukiwa na Programu hii utahitaji Kompyuta au simu au Tableti ili uweze kuweka kumbukumbu mbalimbali za wanachama. Hii itasaidia Kikundi kuachana na utegemezi pekee wa Kadi, Vitabu vya hesabu na Excel (Spreadsheet).
Features
- Taarifa mahususi za wanachama
- Ununuzi wa Hisa
- Mikopo ya Hisa
- Michango ya Mfuko wa Jamii
- Mikopo ya Jamii
- Marejesho
- Michango Maalum
- Kitabu cha Mahesabu/Miamala
- Akaunti za Fedha
- Uhamishaji Fedha
- Mgao wa Faida (Dividend)
- Kujitoa uwanachama
- Matangazo
- Ufanyaji maamuzi kwa kupiga Kura
Categories
DatabaseOther Useful Business Software
MongoDB Atlas runs apps anywhere
MongoDB Atlas gives you the freedom to build and run modern applications anywhere—across AWS, Azure, and Google Cloud. With global availability in over 115 regions, Atlas lets you deploy close to your users, meet compliance needs, and scale with confidence across any geography.
Rate This Project
Login To Rate This Project
User Reviews
Be the first to post a review of Kibaba MFS!